Diamond Platnumz na Rayvanny wamefungiwa kufanya onyesho lolote ndani na nje ya Tanzania na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA). Baraza hilo limesema marufuku hiyo ya muda usiojulikana inaanza ...