Na lugha hiyo ilikuwa pekee miongoni mwa lugha za Afrika iliyotukuzwa hivyo kabla ya Kiswahili nacho kutangazwa hivi majuzi kuwa ni lugha rasmi ya AU. Idadi hasa ya wanaozungumza Kiswahili haijulikani ...
Maelezo ya picha, Kuna zaidi ya lugha 100 zinazongumzwa nchini Tanzania lakini Swahili inazungumzwa na asilimia 90 ya idadi ya watu 14 Aprili 2020 Swahili ni lugha ya taifa Tanzania, yenye idadi ya ...
Kiswahili ni lugha ya taifa Tanzania na Kenya, na pia kinazungumzwa Uganda, DRC na visiwa vya Komoro. IPia kinazungumzwa kidogo Burundi, Rwanda, Kaskazini mwa Zambia, Malawi na Msumbiji. Neno ...
Julai saba kila mwaka dunia inaadhimisha siku ya Kiswahili katika kutambua mchango wa lugha hiyo adhim katika kukuza utofauti wa kitamaduni, kujenga ufahamu na kukuza mjadala miongoni mwa jamii.
BADO muziki wa Bongofleva unaendelea kufanya vizuri Afrika Mashariki na Kati kutokana na ukweli kwamba mataifa mengi ya ...
Tanzania imeutaka Umoja wa Afrika kuitambua lugha ya Kiswahili kama lugha ya asili ya Afrika, na imesema kwamba hatua hiyo italeta msukumo mpya wa kuenzi juhudi za ukombozi katika eneo la kusini mwa ...
Iwapo wapo sokoni, barabarani hata katika maeneo ya usafiri wa umaa wakaazi wanatumia kiswahili cha Lushi yaani cha jiji la Lubumbashi ambacho ni mchanga'nyiko wa maneno ya kiswahili na kifaransa.
Licha ya kuwa Lugha ya Kiswahili ,imetambuliwa lugha ya kimataifa ,juhudi za kuikuza bado ni kidogo.Nchini Kenya shirika la kimataifa la Toastmasters ,inayotoa mafunzo kuhusu namna ya kuwasiliana ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results