Sauti tamu za watoto ndizo zinazokukaribisha katika kijiji cha Ujamaa, eneo bunge la Likoni, Mombasa, Kenya Wakati huu ambapo janga la Corona limerindima na kulazimu shule kufungwa nchini Kenya, ...
Kazi za Sanaa huwa zinalenga kuburudisha na kufurahisha hadhira. Hata hivyo sanaa ya mashairi ya kisasa ama 'spoken word' nchini Kenya imeonekana kuchukua mkondo wa kuangazia masuala sugu katika jamii ...
Idadi ya mashairi ya Kiswahili yanayochapishwa yanazidi kupungua. Malenga wa mashairi ya arudhi pia wamepungua. Changamoto zinazokumba fani hii ni zipi? John Juma anashirikisha wataalamu kuelezea hali ...
Jackline Malavanu ni mtunzi mahiri wa mashairi anayejulikana kwa ustadi wake wa kipekee wa kutumia maneno. Kazi zake zina uwezo wa kugusa hisia za msomaji kwa undani, huku zikichochea mawazo mapya na ...