Ujumbe wa usalama wa Umoja wa Mataifa umeshambuliwa wakati ukiwa katika operesheni yao maalum nchini Syria katika mji wa Douma ya kuandaa mazingira ya kupelekwa wataalamu wa kuchunguza madai ya ...
Mashambulizi ya makombora yamepiga katika kambi ya jeshi la Syria leo (09.04.2018) lakini Marekani na Ufaransa zinakanusha kuhusika kama hatua ya kujibu shambulizi la gesi ya sumu lililofanywa ...