Kuna ushahidi ulio dhahiri kuwa mwanasiasa wa upinzani nchini Urusi Alexei Navalny alipewa sumu ya Novichok inayoathiri neva, Ujerumani imesema. Kansela Angela Merkel alisema kuwa mwanasiasa huyo ...
Kuna ushahidi uliodhahiri kuwa mwanasiasa wa upinzani nchini Urusi Alexei Navalny alipewa sumu ya Novichok inayoathiri neva, Ujerumani imesema. Chansela Angela Merkel alisema kuwa mwanasiasa huyo ...
Tume ya Uchunguzi ya Umoja wa Mataifa UN imebaini wapiganaji wa Upinzani nchini Syria ndiyo wanatumia silaha za kemikali kwenye vita vyao dhidi ya Serikali ya Rais Bashar Al Assad kulingana na ...
Umoja wa Mataifa hapo jana bila ya kuulamumu upande wowote katika vita vya Syria ulisema umekusanya ushahidi wa kutosha na wa kuaminika unaoonyesha kuwa sumu ya sarin ilitumika katika shambulio la ...
Shambulio la gesi ya sumu dhidi ya Ghouta mashariki limeuwa dazeni kadhaa za watu, wameripoti watoa huduma za matibabu, na Marekani imesema ripoti hizo kama zitathibitishwa, jumuiya ya kimataifa itoe ...
Wanaharakati wa mazingira nchini Kenya, wameshinda kesi ya wakazi wa mtaa duni wa Owino Uhuru mjini Mombasa, walioathiriwa na sumu kutoka katika kiwanda cha kutengeza madini aina ya Lead. Miongoni mwa ...