Ilimchukua Fatima Bio muda mfupi tu kujibu tulipomuuliza ilikuwaje alikuwa mtafuta hifadhi mjini London. "Bora kuliko kuolewa na mzee mpotovu," alisema kwa sauti tulivu kabla ya kucheka akirejelea ...
Katika mji wa Fez nchini Morocco, Fatima al-Fihri alijenga msikiti uliokuja kuwa Chuo Kikuu maarufu cha al-Qurawiyyin. Leo hii kinatambuliwa kama chuo kikuu kikongwe zaidi ulimwenguni kinachoenedelea ...
Zaidi ya karne moja iliyopita, kijiji cha Fatima katikati mwa nchi ya Ureno kilikuwa eneo la mashambani lililoshiriki sana katika ufugaji wa kondoo. Leo, ni sehemu kuu ya ibada au vinginevyo hija ya ...