Tangu alipochukua madaraka, Kapteni Traoré amekabiliwa na majaribio mawili ya mapinduzi na pia anakabiliwa na ongezeko la vurugu za wanajihadi. Ambia Hirsi & Rashid Abdallah Washirika wa Ulaya ...
Polisi katika Jimbo la Valais imesema chanzo cha moto huo bado hakijajulikana na imekanusha uwezekano wa shambulio. Takribani watu 40 wamefariki na wengine 115 kujeruhiwa vibaya, baada ya moto mkubwa ...
Mwaka 2025 Kenya ilimpoteza mmoja wa watu wake mashuhuri kwa jina la Raila Amolo Odinga, mmoja wa wanasiasa waliodumu nchini humo, aliyefariki akiwa na umri wa miaka 80. Raila, ambaye alifahamika sana ...
Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi ilitaja tukio hilo kuwa “shambulio la kigaidi,” huku ikisema Rais Vladimir Putin amearifiwa. Mamlaka zilizowekwa na Urusi katika eneo la Kherson nchini Ukraine zimesema ...
THE WEEK'S MOST POPULAR SONGS BASED ON STREAMING AND SALES ACTIVITY FROM OVER 200 TERRITORIES AROUND THE WORLD — INCLUDING THE UNITED STATES — AS TRACKED BY LUMINATE. THE RANKING IS BASED ON A ...